• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa UM waeleza wasiwasi na tukio linalozihusisha manowari za Ukraine na Russia

    (GMT+08:00) 2018-11-28 09:24:20

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres ameeleza wasiwasi wake kuhusu tukio la makabiliano kati ya meli za kijeshi za Ukraine na Russia karibu na Mlangobahari wa Kerch katika Bahari Nyeusi. Kwenye taarifa iliyotolewa na msemaji wake, Bw. Guterres amesisitiza hitaji la haraka la kuzuia hatari yoyote inayoweza kuifanya hali izidi kuwa mbaya. Amezitaka pande zote mbili kujizuia kadri ipasavyo na kuchukua hatua bila kusita kudhibiti tukio hilo na kupunguza mivutano kwa njia zote kwa mujibu wa Mikataba ya Umoja wa Mataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako