• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa UM kuhusu maendeleo nchini Afghanistan waanza Geneva

    (GMT+08:00) 2018-11-28 09:25:49

    Mkutano wa siku mbili unaolenga kuanzisha upya mchakato wa kutafuta maendeleo na mageuzi ya Afghanistan umeanza mjini Geneva, ambapo naibu mwakilishi mkuu wa Tume ya Msaada ya Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan UNAMA Bw. Toby Lanzer, amesema maendeleo yaliyopatikana nchini humo ni mazuri kuliko ilivyotarajiwa. Pia amesema mke wa rais wa Afghanistan Bibi Rula Ghani alizindua mkutano wa kwanza wa pembezoni mwa Mkutano huo kuhusu kuwawezesha wanawake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako