• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China akutana na waziri mkuu wa Hispania

  (GMT+08:00) 2018-11-29 14:11:52

  Rais Xi Jinping wa China ambaye yupo ziarani nchini Hispania, amekutana na waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Pedro Sanchez. Pande hizo mbili zimefikia maafikiano mengi kuhusu kukuza uhusiano kati ya pande hizo mbili, na kukubaliana kwa kauli moja kuchukua maadhimisho ya miaka 45 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kuwa mwanzo mpya, ili kuhimiza uhusiano kati ya nchi hizo mbili kupata maendeleo mapya na kuwanufaisha zaidi wananchi wao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako