• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atoa hotuba kwa wabunge wa Hispania

    (GMT+08:00) 2018-11-29 07:04:14

    Rais Xi Jinping wa China ambaye yupo ziarani nchini Hispania, ametoa hotuba kwa wabunge muhimu wa nchi hiyo.

    Rais Xi amesema China inapenda kuimarisha mawasiliano ya ngazi ya juu na Hispania, kuendelea kuunga mkono maslahi ya pamoja na ufuatiliaji muhimu wa pande hizo mbili, kushikilia mwelekeo sahihi wa uhusiano kati ya pande hizo mbili, na kujenga kwa pamoja "Ukanda Mmoja, Njia Moja".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako