• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA WANAWAKE: MICHUANO YA AWCON 2018: Nigeria watinga nusu fainali

    (GMT+08:00) 2018-11-29 08:42:42

    Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Falcons ya Nigeria imekata tiketi ya kucheza nusu fainali ya ubingwa wa Afrika kwa wanawake (AWCON) mashindano yanayoendelea mjini Accra Ghana baada ya kuifunga timu ya taifa ya wanawake ya Cameroon Lionesses kwa jumla ya magoli 4-2 kwa mikwaju ya penalti baada ya kumaliza dakika 90 bila kufungana.

    Nigeria sasa wanawasubiri mshindi kati ya Afrika kusini na Mali, kukutana katika mchezo wa fainali na hatimaye bingwa kujulikana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako