• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: KEFOCA kuandaa kozi ya makocha wa soka mkoani Pwani

    (GMT+08:00) 2018-11-29 08:43:13

    Chama cha makocha wa mpira wa miguu nchini Kenya (KEFOCA) kinaandaa kozi za awali za walimu wa timu za soka katika jimbo la mkoa wa Pwani nchini Kenya kuanzia mwanzoni mwa mwaka ujao.

    Kwa mujibu wa kaimu mwenyekiti wa chama hicho mkoani Pwani, ambaye pia ni mwenyekiti wa KEFOCA Kaunti ya Mombasa Yusuf Harub, amesema kozi hizo zitaandaliwa katika Kaunti zote sita zinazopatikana Pwani ya Kenya ambazo ni Kilifi, Kwale, Lamu, Mombasa, Tana River na Taita Taveta.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako