• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • MASUMBWI: Deontay Wilder na Tyson Fury watambiana mbele ya waandishi wa habari

    (GMT+08:00) 2018-11-29 08:46:16

    Mabondia Tyson Fury na Deontay Wilder jana katika mkutano mbele ya wandishi wa habari almanusura wazichape baada ya kutambiana kwa kutoleana maneno ya kebehi walipokuwa wakitambulishwa rasmi kwa ajili ya pambano lao la uzito wa juu litakalofanyika mjini Los Angeles Marekani.

    Mchambuzi wa michezo wa BBC Steve Bunce ameeleza kuwa anaona tayari Wilder ameshapoteza pambano hilo kutokana na kuonyesha kutojiamini.

    Waswahili husema "Mtoto hatumwi dukani" mwisho wa majigambo hayo ni jumapili hii wakati mabondia hao wawili watakapozipiga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako