• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji wa Al-Shabab wawaachia huru wakenya wawili

    (GMT+08:00) 2018-11-29 11:59:02

    Wapiganaji wa kundi la Al-Shabab la Somalia wamewaachia huru Wakenya wawili waliowateka nyara wiki iliyopita kutoka kijiji kimoja katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya. Serikali imeimarisha usalama katika maeneo ya mpakani ili kuzuia tukio kama hilo lisitokee tena.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako