• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Gabon kupata matibabu Morocco

    (GMT+08:00) 2018-11-29 11:59:21

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Morocco imesema rais Ali Bongo Ondimba wa Gabon atapata matibabu katika hospitali mjini Rabat, Morocco. Taarifa iliyotolewa na Wizara hiyo imesema uamuzi huo umetolewa kutokana na ombi la rais Ali Bongo chini ya makubaliano na taasisi za kikatiba ya Gabon, kwa mujibu wa mashauri ya daktari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako