• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ripoti ya serikali ya Uingereza yasema uchumi utapata hasara bila kujali ni makubaliano gani ya Breixt kufikiwa

    (GMT+08:00) 2018-11-29 12:00:05

    Serikali ya Uingereza imetoa ripoti ikionyesha kuwa nchi hiyo itashuhudia kupungua kwa pato la ndani la taifa GDP kwa asilimia 3.9 katika miaka 15 ijayo kutokana na mpango wa Brexit wa waziri mkuu Bibi Theresa May. Ripoti hiyo yenye kurasa 83 iliyoandaliwa na idara mbalimbali za serikali ya Uingereza ikiwemo Wizara ya Fedha, imetabiri matokeo mbalimbali ya Brexit ikilinganishwa na ukuaji wa sasa wa GDP.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako