• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bibi Peng Liyuan atembelea Jumba la kifalme la maonesho la Hispania

    (GMT+08:00) 2018-11-29 13:49:00

    Mke wa rais wa China Bibi Peng Liyuan akiongozana na malkia wa Hispania Letizia Ortiz Rocasolano ametembelea Jumba la kifalme la maonesho la nchi hiyo lililoko katikati ya mji wa Madrid.

    Bibi Peng Liyuan amesema China na Hispania zote ni nchi kubwa za usanii, na wasanii wa nchi hizo mbili siku zote wanaheshimiana na kufundishana. Jumba la kifalme la maonesho la Hispania limekuwa likishirikiana vizuri na Jumba la maonesho la taifa la China, na kuweka kwa pamoja jukwaa kwa wasanii. Nchi hizo mbili zinatakiwa kuendelea kuhimiza mawasiliano na ushirikiano katika sekta ya usanii, ili kukuza maelewano na urafiki kati ya watu wa nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako