• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ripoti yaonyesha mazingira ya kufanya biashara ya China yameboreshwa

  (GMT+08:00) 2018-11-29 18:56:56

  Kamati ya kuhimiza biashara ya kimataifa ya China imetoa ripoti ya mwaka 2018 kuhusu utafiti wa mazingira ya kufanya biashara nchini humo na kusema, zaidi asilimia 90 ya viwanda vilivyohojiwa vinaona mazingira ya biashara ya China katika miaka mitatu iliyopita yameboreshwa.

  Ripoti hiyo iliyotolewa hivi karibuni pia imesema, mazingira ya kulinda hakimiliki za ujuzi pia yameinuka kwa kiwango kikubwa, ikilinganishwa na miaka miwili iliyopita.

  Ripoti hiyo imetolewa juu ya msingi wa kufanya utafiti kwa viwanda elfu 4 vya binafsi, viwanda vya taifa na viwanda vyenye mitaji ya kigeni.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako