• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Centum yatafuta mtaji Uganda

    (GMT+08:00) 2018-11-29 19:30:37
    Kampuni ya uwekezaji ya Centum Group inapanga kutafuta mtaji wa hadi shilingi trilioni 1.4 nchini Uganda kutoka kwa sekta ya kibinafsi.

    Kampuni hiyo ambayo imeorodheshwa kwenye soko la hisa la Nairobi imesema trilioni moja kati ya pesa hizo zitatoka kwa wafanya biashara binafsi na taasisi kama vile bima ya jamii.

    Mkurungezi wa kampuni hiyo James Mworia amesema pesa hizo zitawekezwa kwenye biashara imara zenye kuleta mapato na pia kutoa mikopo kwa serikali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako