• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afrika Kaskazini na Mashariki zaongoza kwenye ujenzi wa majumba ya biashara

    (GMT+08:00) 2018-11-29 19:30:57
    Utafiti mpya uliofanywa na taasisi ya Sagaci unaonyesha kuwa kanda ya kaskazini na mashariki mwa Afrika zinaongoza kwenye ujenzi wa majumba ya biashara.

    Utafiti huo umeonyesha kuwa ujenzi wa maduka kwenye nchi kama vile Misri, Morocco na Kenya umeongezeka kwa zaidi ya mara dufu ndani ya miaka 8.

    Kulingana na utafiti huo ukuaji ujenzi wa maduka hayo umechangiwa na ueneaji wa miji, ongezeko la idadi ya watu na uwekezaji wa kimataifa.

    Kwa jumla Afrika ina maduka makubwa ya kibiashara 579 mengi yakiwa nchini Misri, Kenya na Nigeria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako