• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Oil Libya yabadilisha jina lake kuwa Ola Energy

    (GMT+08:00) 2018-11-29 19:31:49

    Kampuni ya kuuza mafuta ya Oil Libya imebadilisha jina lake na kuwa Ola Energy.

    Kampuni hiyo imesema jina hilo mpya litatumika kwenye nchi zote 17 ambako inahudumu barani Afrika.

    Meneja wa Ola Energy nchini Kenya Duncan Murashiki amesema kubadilishwa kwa jina ni sehemu ya mpango wa upanuzi wa kampuni hiyo ambao pia utahusisha kuunguliwa kwa matawi mapya.

    Alisema wanatarajia kuwa na matawi 100 nchini Kenya ifikapo mwaka 2019.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako