• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China atoa pongezi kwa mkutano wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuwaunga mkono wapalestina

  (GMT+08:00) 2018-11-29 20:03:17

  Umoja wa Mataifa leo umefanya mkutano wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuwaunga mkono wapalaestina, rais Xi Jinping ametoa pongezi kwa mkutano huo.

  Katika pongezi hizo, Rais Xi amesema, suala la Palestina ni chanzo cha suala la Mashariki ya Kati ambalo linahusiana na utulivu wa kudumu, maendeleo na ustawi wa nchi mbalimbali za Mashariki ya Kati ikiwemo Palestina. Kutatua suala la Palestina kwa pande zote na usawa ni matarajio ya watu wote duniani, na kunahusiana na maslahi ya watu wa nchi mbalimbli na kusaidia kuhimiza amani na utulivu wa dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako