• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan na Ethiopia zasisitiza umuhimu wa kuzindua kikosi cha pamoja ili kulinda usalama wa mpaka

    (GMT+08:00) 2018-11-30 09:38:11

    Shirika la habari la Sudan SUNA limesema Sudan na Ethiopia zimesisitiza umuhimu wa kuzindua kikosi cha pamoja ili kulinda mpaka wa pamoja.

    Pande hizo mbili zimetoa pendekezo hilo kwenye mkutano kati ya msaidizi wa rais wa Sudan Bw. Faisal Hassan Ibrahim na balozi wa Ethiopia nchini humo.

    Pande hizo mbili zimekubaliana kuwa uzinduzi wa vikosi vya pamoja utasaidia kuzuia biashara za magendo na usafirishaji haramu wa binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako