• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la anga la Syria lazuia makombora yanayoshukiwa kurushwa na Israel

    (GMT+08:00) 2018-11-30 09:56:24

    Vikosi vya ulinzi wa anga vya Syria vimezuia shambulizi la makombora linaloshukiwa kufanywa na Israel dhidi ya maeneo ya kijeshi kusini mwa Syria. Wakati huohuo shirika la uangalizi wa haki za binadamu la Syria limesema ni Isreal iliyotekeleza shambulizi hilo katika sehemu za kusini na kusini magharibi za viunga vya mji wa Damascus. Israel imekuwa inafanya mashambulizi ya mara kwa mara dhidi ya maeneo ya kijeshi nchini Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako