• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Trump afuta mkutano na Putin kando ya mkutano wa G20

    (GMT+08:00) 2018-11-30 09:56:45

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kutokana na mvutano kati ya Russia na Ukraine, ameamua kufuta mkutano na mwenzake wa Russia Vladimir Putin, uliopangwa kufanyika nchini Argentina pembezoni mwa mkutano wa kilele wa kundi la G20. Hata hivyo saa chache kabla ya kupanda ndege ya kwenda Argentina, rais Trump alisema anatarajia sana kukutana na rais Putin.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako