• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini yakanusha shutuma kuwa inakiuka marufuku ya usafirishaji wa silaha wa Umoja wa Ulaya

    (GMT+08:00) 2018-11-30 09:57:26

    Sudan Kusini imekanusha shutuma kuwa nchi jirani yake Uganda inaisaida kupata silaha za Ulaya licha ya vikwazo vya silaha vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya, na kusema serikali ya Sudan Kusini hivi sasa inafuatilia kuwekeza katika makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni wala sio vita. Ripoti iliyotolewa na kundi moja lenye makao makuu mjini London imesema serikali ya Uganda ilinunua silaha na risasi kutoka kwa nchi tatu za Umoja wa Ulaya na kuzisafirisha kwa jeshi la Sudan Kusini kati ya mwaka 2014 hadi mwaka 2015.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako