• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China awasili nchini Argentina

    (GMT+08:00) 2018-11-30 10:05:08

    Rais Xi Jinping wa China amewasili mjini Buenos Aires, Argentina, kuhudhuria Mkutano wa kilele wa 13 wa kundi la nchi 20 utakaofanyika kuanzia leo, na kufanya ziara nchini humo.

    Rais Xi ameeleza kuwa Argentina ni nchi ya kwanza ya Latin Amerika na kuandaa Mkutano wa kilele wa kundi la nchi 20, wakati miaka ya 10 imetimia tangu kuanzishwa kwa mkutano huo. Amesema China inapenda kushirikiana na pande zote nchini Argentina, kufuata moyo wa kiwenzi wa kunufaishana pande zote, kuongoza uchumi wa dunia kuelekea kwenye fursa nyingi zaidi. Pia ametakia na kuiunga mkono Argentina kuandaa mkutano huo kwa mafanikio.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako