• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sera ya Visa imepatia Kenya nafasi ya 9 kutoka 15 Afrika

    (GMT+08:00) 2018-11-30 20:18:36
    AU imeipongeza Kenay kwa uboreshaji wa ajabu ulitokea kwa sera mpya ya visa-on-arrival kwa Waafrika wote wanaotembelea nchi.

    Uhuru alitangaza wa kingilio au visa huru katika hotuba yake ya uzinduzi mwezi Novemba 2017.

    Ripoti ya mwaka 2018 ya Ufunguzi wa Visa inaweka Kenya nafasi ya tisa, kutoka 15 mwaka jana na mwaka wa 2016.

    Hii imeonyesha juhudi kubwa ambazo nchi imeweka katika kuimarisha ukuingiaji wa watu kutoka mataifa ya kikanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako