• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • M-Pesa kuanza kutuma fedha kuenda China kupitia WeChat

    (GMT+08:00) 2018-11-30 20:25:04

    Ushirikiano kati ya benki ya Family Bank na kampuni ya iliyoko London ya teknolojia ya kifedha ya SimbaPay itawawezesha watumiaji wa M-Pesa wa 23,946,174 nchini Kenya kutuma fedha kwa watuamiaji WeChat ambao ni zaidi ya bilioni 1 nchini China.

    Kutuma fedha, Wakenya watatumia nambari ya Malipo ya M-Pesa ya Benki ya Family Bank na kuweka namba ya simu ya mpokeaji nchini China kama nambari ya akaunti.

    Gharama ya utaumaji italiangana na kiwango cha fedha

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako