• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashirika ya Umoja wa Mataifa yasisitiza kukuza ufahamu na kujipima kwa wagonjwa wa Ukimwi

    (GMT+08:00) 2018-12-01 16:40:04

    Katika kuadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwa siku ya Ukimwi duniani mwaka 1988, Shirika la Afya Duniani WHO na UNAIDS jana yalipendekeza zoezi la kujipima kuwafikia watu milioni 9.4 duniani ambao hawajatambua hali zao.

    WHO limesema asilimia 75 ya watu wanakadiriwa kuishi na virusi vya Ukimwi, au watu milioni 28 kati ya milioni 37, wameweza kupima na kugunduliwa wana virusi vya ukimwi. Kauli mbiu ya mwaka huu ni "Jitambue hali yako" hata hivyo inaonekana bado kuna pengo kubwa la watu kujipima wenyewe. Na kulingana na UNAIDS kikwazo kikubhwa cha watu kujipima ukimwi ni unyanyapaa na ubaguzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako