• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Trump na Moon wajadili kuhusu mkutano wa pili na Korea Kaskazini

    (GMT+08:00) 2018-12-01 16:40:37

    Rais wa Marekani Donald Trump jana alikutana na mwenzake wa Korea Kusini Moon Jae-in na kujadili maendeleo ya hivi karibuni kuhusiana na na Korea Kaskazini ambapo Trump anapanga kufanya mkutano wa pili na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Joe In.

    Kwa upande wake Trump alijadili nia yake ya kuwa na mkutano wa pili na Korea Kaskazini, na kuongea na Moon ahadi yao ya kuratibu kwa karibu hatua zinazofuata. Trump na Moon pia wametoa uhakikisho juu ya ahadi yao juu ya Korea Kaskazini kutotumia silaha za nyuklia, na kukubaliana umuhimu wa kuimarisha utekelezaji wa vikwazo vilivyopo ili kuhakikisha Korea Kaskazini inaelewa kuwa kutotumia silaha za nyuklia ndio njia pekee ya mafanikio ya kiuchumi na amani ya kudumu katika peninsula ya Korea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako