• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • AWCON 2018: Nigeria yatwaa ubingwa kwa kuichabanga Banyana Banyana

  (GMT+08:00) 2018-12-03 09:03:53

  Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Nigeria (The Falcons) ilihitaji muda wa nyongeza kuweza kunyakua ubingwa wa klabu bingwa Afrika (AWCON) ilipokwaana na Bamyama Banyana ya Afrika Kusini michuano iliyomalizika jumamosi ya mwisho wa wiki nchini Ghana.

  Hadi dakika 90 za mchezo, timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana, na kuongezwa dakika 30 nazo zilimalizika huku hakuna timu iliyoweza kuona lango la mpinzani wake, ndipo uliwadia muda wa penalty, na Nigeria kuibuka na ushindi wa jumla ya penalti 4 huku Banyana Banyana ikiambulia penalti 3.

  Cameroon wamenyakua ushindi wa 3 baada ya kuwafunga Mali katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu uliopigwa Ijumaa Novemba 30.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako