• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RAGA: Kenya yaaga mashindano

    (GMT+08:00) 2018-12-03 09:02:33
    Timu ya taifa ya wanawake ya raga ya Kenya (Lionesses) imeaga mbio za kugombea ubingwa wa michuano ya raga ya dunia ya wanawake ya wachezaji saba kila upande yanayoendelea Dubai baada ya kupoteza mechi yake ya pili mfululizo kwa kulimwa 27-12 na Jamhuri ya Ireland katika michuano hiyo inayofanyika katika falme za Kiarabu.

    Kenya ilipata tiketi ya kushiriki mashindano hayo baada ya kutwaa ubingwa wa Afrika mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako