• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CAF yaipokonya Cameroon uenyeji wa AFCON 2019

    (GMT+08:00) 2018-12-03 09:02:46
    Shirikisho la soka Afrika CAF baada ya kikao cha kamati ya utendaji cha shirikisho hilo kukutana nchini Ghana katika jiji la Accra, wamekubaliana kwa pamoja kuipokonya wenyeji wa fainali za mataifa ya Afrika nchi ya Cameroon zilizopangwa kuchezwa mwakani 2019.

    CAF wametangaza kuipokonya uenyeji Cameroon na kutangaza taifa linalotaka kuwa mwenyeji litume maombi ndani ya mwezi mmoja kutokea sasa, kabla ya shirikisho hilo kufunga zoezi hilo na kufanya uamuzi baada ya kupitia maombi ya mataifa hayo licha ya Morocco kuwa inaweza kupewa uenyeji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako