• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Lazima kieleweke, Fury na Wilder wakubali kurudiana

    (GMT+08:00) 2018-12-03 09:03:02
    Kufuatia kutoka sare ya kulingana alama toka kwa majaji jumamosi, mabondia Deontay Wilder na Tyson Fury wamekubali kucheza mpambano wa marudiano utakaotangazwa siku zijazo.

    Mabondia hao walienda hadi raundi ya 12 katika pambano hilo la kuwania ubingwa wa uzito wa juu wa WBC.

    Alipohojiwa na waandishi wa habari, Fury alisema licha ya maamuzi wa majaji lakini dunia inatambua kuwa yeye ndio alishinda pambano hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako