• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Macron atembelea maeneo yaliyoharibiwa mjini Paris kabla ya mkutano wa dharura

    (GMT+08:00) 2018-12-03 09:25:45

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametembelea maeneo mbalimbali yaliyoharibiwa pindi tu baada ya kurudi kutoka Argentina ili kutathmini uharibifu baada ya kundi la waandamanaji kushambulia na kuchoma moto majengo na magari na kuuingiza mji huo kwenye machafuko. Rais Macron pia ameitisha mkutano wa dharura na viongozi wa serikali kujadili machafuko na jinsi ya kushughulikia vuguvugu la jamii la "fulana ya njano".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako