• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri wa mambo ya nje wa China atuma salamu za rambi rambi kwa watu waliofariki kwenye ajali ya boti nchini Uganda

  (GMT+08:00) 2018-12-03 15:53:41

  Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amemtumia salamu za rambirambi waziri wa mambo ya nje wa Uganda Bw. Sam Kutesa kufuatia ajali ya kuzama kwa boti ya watalii nchini Uganda ambayo iliotokea hivi karibuni na kusababisha vifo vya watu kadhaa.

  Bw. Wang Yi ameelezwa kusikitishwa na ajali hiyo na kutoa salama za pole kwa ndugu na jamaa za watu waliofariki na kwa majeruhi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako