• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uchumi wa Uganda kukua kwa asilimi 7 mwaka 2018/19

    (GMT+08:00) 2018-12-03 20:11:17

    Wataalam wa shirika la fedha duniani IMF wamesema kuwa uchumi wa Uganda unatarajiwa kukua kwa asilimia 7.

    Wamesema ukuaji huo unasaidia na hali ya mani nchini DSudan Kusini na pia mikataba ya biashara na mafuta na gesi iliyosaniwa hivi karibuini.

    Mwakilishi wa IMF nchini humo Bibi Clara Mira amesema pia sekta za miundo mbinu, kilimo na ujenzi zitasaidia kusukuma mbele uchumi wa nchi hiyo ambao mwaka jana ulikua kwa asilimia 6.1.

    Hata hivyo Mira ameonya kuwa mfumko wa bei unaweza kuathiri ukuaji huku hadi mwezi Oktoba mfumko huo ukifikia asilimia 3.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako