• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Kampuni za china zatafuta uwekezaji Uganda

    (GMT+08:00) 2018-12-03 20:11:36

    Kampuni 30 kutoka China zimefanya ziara nchini Uganda kutafuta nafasi za uwekezaji kwenye sekta mbali mbali.

    Mkuu wa wanachama wa biashara kati ya China na Uganda bwana Basil Ajer, amesema ujumbe huo wa wawekezaji ni sehemu ya mipango ya serikali ya Uganda kuongeza uwekezaji wa China nchini humo.

    Wawakilishi wa kampuni hizo wamesema wanalenga kuwekeza kwenye sekta za Tehama, kilomo na utalii.

    Bwana Ajer amesema tangu mwaka wa 2011 serikali nchini humo imetoa leseni kwa uwekezaji wa China wa thamani ya dola biliono 1.2 na kuzalisha ajira zaidi ya 40,000.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako