• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Housing Finance yapata hasara ya shilingi milioni 332

  (GMT+08:00) 2018-12-03 20:12:57

  Kampuni ya kutoa mikopo ya nyumba nchini Kenya Housing Finance imepata hasara ya shilingi milioni 332 kwenye kipindi cha miezi 9 kilichokalimika mwezi Septemba.

  Mwaka jana kipindi sawa na hicho kampuni hiyo ilipata faida ya shilingi milioni 159.

  Lakini mwaka huu kampuni hiyo imekabiliwa na matatizo kama vile mikopo isiolipwa ambayo ilifikia shilingi bilioni 8.9.

  Kaimu mkurungezi wa kampuni hiyo Sam Waweru amesema wameanzisha mikakati ya kurejesha faida.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako