• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga yawapigisha kwata maafande wa Mbeya

    (GMT+08:00) 2018-12-04 08:42:20
    Timu ya wananchi Yanga ya Dar es salaam jana imewapigisha kwata Maafande wa Mbeya (Prisons) baada ya kuibamiza kwa magoli 3-1 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara (TPL).

    Mchezo huo ulifanyika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya na kushuhudia na mamia ya mashabiki, huku kiungo wa Yanga, Mrisho Ngasa pamoja na beki wa Prisons walilimwa kadi nyekundu baada ya kupigana vichwa uwanjani.

    Kwa ushindi huo, Yanga imefikisha alama 38 baada ya kucheza mechi 14 huku ikiendelea kuongoza ligi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako