• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikundi cha madaktari wa China nchini Rwanda chatoa huduma za afya bila malipo kwa mradi wa msaada wa China

    (GMT+08:00) 2018-12-04 09:01:31

    Kikundi cha 19 cha madaktari wa China nchini Rwanda kimetoa huduma za afya bila malipo kwa wafanyakazi wa mradi wa ujenzi wa ofisi za serikali unaofadhiliwa na China.

    Ofisi hizo za serikali ya Rwanda zinazojengwa na kampuni ya China kuanzia mwaka 2016, ni pamoja na Ofisi ya waziri mkuu na makao makuu ya wizara na taasisi mbalimbali, kwa ajili ya watu 1,100 kufanya kazi.

    Madaktari wote 15 wa kikundi hicho walishiriki kwenye shughuli hiyo ya kutoa huduma za afya kwa wafanyakazi wa China na Rwanda kwenye maeneo ya ujenzi mjini Kigali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako