• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shule 100 zazingirwa nchini Ufaransa baada ya wanafunzi kujiunga na vuguvugu la "Fulana ya Njano"

    (GMT+08:00) 2018-12-04 09:46:01

    Wanafunzi wa Ufaransa wamekatisha masomo na kuzingira shule 100 za sekondari ,wakikosoa mageuzi ya kielimu na kueleza kuunga mkono vuguvugu la "Fulana ya Njano" dhidi ya gharama kubwa za kimaisha. Huko Auberbilliers, kaskazini ya viunga vya mji wa Paris, mamia ya wanafunzi walitoroka shule na kuandamana barabarani wakipiga mayowe ya kumtaka Macron ajiuzulu, na baadhi yao walikamatwa baada ya kuvichoma moto gari na mapipa ya takataka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako