• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SpaceX yarusha satelaiti ndogo 64 kwenye safari moja

    (GMT+08:00) 2018-12-04 09:46:46

    Kampuni binafsi ya safari za anga za juu ya Marekani SpaceX imerusha roketi ya Falcon 9 iliyobeba satelaiti ndogo 64 kutoka kituo cha jeshi la anga cha Vandenberg jimboni California. Hii imeweka rekodi ya Marekani kwa kurusha satelaiti kwa wingi zaidi kwenye anga za juu kwa safari moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako