• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kapanuka kwa miji na matumizi ya bidhaa kwa kuhimiza uwekezaji binafsi barani Afrika

    (GMT+08:00) 2018-12-04 09:56:14

    Wachambuzi wamesema kupanuka kwa kasi kwa miji, na kukua kwa tabaka la kati, na kuongezeka kwa matumizi ya walaji ni baadhi ya mambo yanayochangia kuongezeka kwa uwekezaji binafsi barani Afrika.

    Kampuni ya uwekezaji ya Cytonn imesema uwekezaji huo umeongezeka zaidi katika mwaka huu kutokana na wawekezaji zaidi kuwekeza katika sekta za teknolojia, elimu, huduma za fedha na afya.

    Kwa mujibu wa kampuni ya kusimamia uwekezaji wa na kusimamia mitaji ya Afrika (AVCA) katika robo ya kwanza ya mwaka huu, makubaliano ya makampuni ya kusimamia uwekezaji yalikuwa na thamani ya dola bilioni 1 za kimarekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako