• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Panama watembelea kwa pamoja mlango mpya kwenye Mfereji wa Pamana

    (GMT+08:00) 2018-12-04 16:11:08

    Rais Xi Jinping wa China jana pamoja na rais Juan Carlos Varela wa Pamana wametembelea kwa pamoja mlango mpya kwenye Mfereji wa Pamana.

    Marais hao wawili walitembelea kituo cha udhibiti wa mlango huo, na kusikiliza utaratibu wa usimamizi na uendeshaji wa Mfereji wa Panama. Rais Varela alimjulisha rais Xi Jinping historia, hali ya sasa, na mpango wa maendeleo wa Mfereji wa Panama katika siku za baadaye.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako