• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Kufungiwa kwa matatu kwaathiri biashara

  (GMT+08:00) 2018-12-04 20:48:21
  Uchumi wa mji wa Nairobi ulitikisika jana kwa kiais kikubwa baada ya agizo la kuyafungia magari ya uchukuzi nje ya jiji. Walioathirika zaidi ni wafanyibiashara ambao hutegemea sana magari ya umma kusafirisha bidhaa zao. Vile vile, baadhi ya biashara ilifunguliwa kwa kuchelewa baada ya wamiliki kulazimika kutembea mwendo mrefu kuja jijini. Hii iliathiri ushuru ambao hukusanywa kila siku na kaunti ya Nairobi. Aidha, hatua hii ilikuwa imetihia wakazi wengi kufutwa kazi kwa sababu ya kuchelewa. Kutokana na hili, gavana wa Nairobi Mike Sonko amefutilia mbali amri ya kutoruhusu magari ya uchukuzi kuingia jijini Nairobi.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako