• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania: Oparesheni dhidi ya uvuvi haramu yaingiza bilioni 2.

  (GMT+08:00) 2018-12-04 20:49:22
  Oparesheni ya kuthibiti uvuvi haramau nchini Tanzania imeanza kuzaa matunda. Oparesheni hii iliyoanza mwezi Desemba mwaka uliopita, imewezesha serikali kupata shilingi bilioni 2.29 hadi kufikia mwezi Novemba mwaka huu. Haya yalibainishwa juzi na Naibu waziri wa mifugo na uvuvi Abdalla Ulega, alipoongoza shughuli ya kutathmini oparesheni Sangara awamu ya tatu iliyofanyika kanda ya ziwa Victoria. Oparesheni hii vile vile imesaidia kuongeza idadi ya samamki majini ambao walikuwa wameanza kupungua. Kikao hicho kilichofanyika mjini Mwanza, kilihudhuriwa na maafisa waliohusika kwenye oparesheni hiyo.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako