• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UM azindua kampeni ya kimataifa dhidi ya uchafuzi wa mazingira kwa plastiki

  (GMT+08:00) 2018-12-05 10:01:51

  Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Bibi Maria Espinosa amezindua kampeni ya kimataifa dhidi ya uchafuzi wa mazingira utokanao na plastiki. Kampeni hiyo ina kazi kuu mbili, kupunguza takataka za plastiki kwenye mfumo wa Umoja wa Mataifa, na kushirikiana na nchi wanachama na mashirika ya Umoja wa Mataifa katika kuongeza ufahamu wa umma kote duniani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako