• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wizara ya Biashara ya China yazungumzia mashauriano ya kiuchumi na kibiashara na Marekani

  (GMT+08:00) 2018-12-05 10:12:03

  Wizara ya Biashara ya China imesema mkutano wa hivi karibuni kati ya marais wa China na Marekani kuhusu masuala ya kiuchumi na kibiashara umekuwa na mafanikio makubwa.

  Msemaji wa wizara hiyo amesema China ina imani kubwa na utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kwenye mkutano huo, na katika siku 90 zijazo, vikundi vya kiuchumi na kibiashara vya pande hizo mbili vitasukuma mbele mashauriano kwa kufuata ratiba na mpango wazi. Ameongeza kuwa China itaanza kwa kutekeleza kazi bayana za makubaliano hayo yaliyofikiwa hivi karibuni haraka iwezekanavyo

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako