• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Eneo la kiviwanda la Bugesera laanza kuvutia wawekezaji

  (GMT+08:00) 2018-12-05 19:44:22

  Eneo maalum la kiviwanda la Bugesera nchini Rwanda limeanza kuvutia wawekezaji hata kabla halijakamilika.

  Ripoti ya serikali inanyesha kuwa zaido ya wawekezaji 20 tayari wameagiza nafasi kwenye eneo hilo.

  Wawekezaji hao ni pamoja na kampuni ya AlMaha ya Qatar.

  Almaha itatengeneza bidhaa kama vile mashine za kufua nguo, meko ya gesi na mitambo ya kuchemsha maji.

  Tayari barabara zimejengwa kwenye eneo hilo la ekari 100 ambapo awamu ya kwanza ya eneo hilo itajengwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako