• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Serikali ya Uganda kutoa leseni mpya za uchimbaji mafuta

  (GMT+08:00) 2018-12-05 19:45:03

  Serikali ya Uganda imeanza kuwaalika wawekezaji kufanya uchimbaji mafuta kwenye eneo la Hoima.

  Serikali inapanga kutoa awamu ya pili ya leseni kwa kampuni za mafuta kuanzia mwaka ujao.

  Waziri wa kawi na madini Peter Lokeris, amesema kati ya vizima 121 vilivyofanyiwa utafiti 106 vilipatikana kuwa na mafuta.

  Aidha anasema bado eneo la asilimia 60 bado halijafanyiwa utafiti wa mafuta.

  Katika awamu ya kwanza serikali ilitoa leseni mbil tu kwa kampuni za Oranto Petroleum ya Nigeria na Armour Group ya Australia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako