• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • EAC: Taasisi za EAC zakosa fedha za oparesheni

  (GMT+08:00) 2018-12-05 19:46:08

  Taasisi kadhaa kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki zimeshindwa kutekeleza kazi zake kutokana na ukosefu wa fedha kwani nchi wanachama hazijatuma mgao wao wa bajeti.

  Secretariati ya EAC sasa inakabiliwa na mwanya wa bajeti wa dola bilioni 1.4.

  Kenya na Uganda ndio zimetoa mchanbgo mkuwa wa oparesheni kwenye sekretariati hiyo huku nchi nyingine nne zikichangia chini ya nusu.

  Mwezi Juni bunge la Afrika Mashariki lilipitisha bajeti ya mwaka 2018/19 na kila nchi inatakiwa kutoka dola milioni 8.3.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako