• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tuzo za wachezaji bora bara la Asia 2018 zimedamshi

  (GMT+08:00) 2018-12-06 08:29:43
  Tuzo za wachezaji bora barani Asia zilizoandaliwa na shirikisho la soka barani Asia zimefanyika mjini Muscat nchini Oman, huku mchezaji wa klabu ya Al Sadd ya Qatar Abdelkarim Hassan amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka na kuwapiku wapinzani wake Yuma Suzuki na Kenta Misao wa Japan.

  Kiungo Wang Shuang toka China alitanganzwa kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka upande wa wanawake, na kuwa mchezaji watatu kutoka China kufikia mafanikio hayo, akitanguliwa na Ma Xiaoxu na Bai Jie.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako