• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi Kuu Uingereza (EPL): Liverpool Konki balaa, Man U yabanwa, Chelsea yalala

  (GMT+08:00) 2018-12-06 08:30:23
  Jumla ya mechi 6 za ligi kuu ya Uingereza (EPL) zimepigwa wiki hii ambapo majoo wa Anfield Liverpool wakiwa ugenini wamefanikiwa kuitwanga Burnley jumla ya magoli 3-1.

  Wakati Liverpool ikipata ushindi na kuendelea kuweka rekodi ya kutopoteza mchezo hata mmoja katika ligi msimu huu sawa na Manchester City, Chelsea fc wameambulia kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Wolves. Nao Everton wametoka sare na Newcastle huku Fulham nayo ikiilazimisha sare Leicester City, Manchester United yenyewe nayo imeenda sare ya 2-2 na Arsenal huku Tottenham Hotspur kuipa kichapo cha 3-1 Southampton

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako