• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ikulu ya Ufaransa yatangaza kuwa itaacha kupandisha kodi

  (GMT+08:00) 2018-12-06 09:31:23

  Ikulu ya Ufaransa imetangaza kufuta mpango wa kuongeza kodi ya mafuta. Televisheni ya Ufaransa BFMTV imeinukuu ikulu ikisema katika wiki na miezi kadhaa ijayo, majadiliano kati ya raia na bunge yanapaswa kutafuta suluhu na fedha ambazo zitafanikisha mageuzi ya kimazingira na pia kutowapa shinikizo watu wa Ufaransa katika kununua umeme.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako